Katika Dunia ya sasa, kuwa na Website si jambo a kujiuliza mara mbili, mfanya biashara yoyote aliye makini na biashara yake ni lazima awe na Website. Kuwa na Website siyo tu kutakufanya kuwafikia watu wengi zaidi ya walio kwenye uzio wako, bali pia huongeza thamani ya biashara , kwani mtazamo wa watu huwa chanya zaidi pindi unapokuwa na Webste au Email, huonekana upo makini na unachokifanya.
Tumekuwa tukipokea maombi mengi ya kutaka kutengenezewa Website (Website Design), na baada ya uchunguzi tumeona kuna kundi ambalo inawezekana liliachwa kutokana na gharama kuwa nje ya uwezo wao. Hivyo, Dudumizi tukiwa kampuni inayoongoza kwenye Website design in Tanzania, tunakuletea ofa kabambe kwa ajili ya Website Design, Webste Hosting, Domain Registration na huduma nyingine. Ofa hii ni kwa ajili ya makampuni madogo na ya kati kuweza yaliyo Tanzania na itaisha mei 5.
Pata Webiste kwa bei ya 600,000TZS tu huku ikijumuisha;
- Full Responsive Website
- Unlimited Business email
- CMS to manage your website
- IT Business Consultation
- Search Engine Optimization (SEO)
- 1 Year Web maintenance
- 2GB website & email Hosting
- Full Cpanel Acces
- Web Analytic
- Website & Email backup
Ofa hii ni kwa ajili ya muda maalumu wa sikukuu ya Wafanyakazi ambapo itaisha mei 5.
Kama upo Interested, tuandikie