Kilichofanyika:
Baada ya kupokea maombi, Dudumizi kama kawaida yetu, tulifanya utafiti na mwisho wa siku tuliweza kutengeneza Website ya kipekee kabisa tena kwa siku 20 tu, na siku 15 zilizobaki zilikuwa kwenye maboresho.
Website ya Elite Bookstore, ina features zifuatazo;
1. Kuonesha bidhaa zisizo na kikomo kwa muonekano ulioboreshwa
2. Mtena ana uwezo wa kununua na kulipia online (TigoPesa)
3. Mteja ana uwezo wa kumanage order zake
4. Mteja ana uwezo wa kutafuta kitabu chochote, na pale anapokikosa ana uwezo wa kuomba kuletewa kitabu pindi kitakapokuja
5. Elite sasa, wana uwezo wa kumanage products zote online, kujua orders zote, kujua maombi ya vitabu, kujua idadi ya bidhaa (stock level) na vingine vyote
6. Elite sasa wana uwezo wa kutuma Newsletter kwa wateja pindi zitakapokuwepo, hii inawawezesha kuwa karibu zaidi na wateja wao
7. Uwezo wa kupokea maombi ya vitabu visivyokuwepo dukani
8. Elite sasa wana uwezo wa kuwasiliana na wateja wao pindi kunapokuwa na vitabu vipya
Na mengine mengi...
Bila kusahau, Dudumizi inaendelea kutoa maintenance na Support ya mwaka mmoja kwa Elite kuhakikisha Website ipo hewani muda wote, huku Elite wakifocus kwenye Biashara.
Muonekano wa sasa (New Elite): http://elitestore.co.tz
Muonekano wa Awali (kabla)
Kupata Website ya kwako, usisite kuwasiliana nasi: Pata Quotation