Mtumiaji wa website huwa anatumia dakika zisizozidi tano katika kutafuta kilichomplekea kwenye Website, hivyo ukiwa kama Website Designer unatakiwa kuhakikisha unatumia muda huo ipasavyo kuwafanya watembeleaji kuendelea kubakia kwenye Website yako. Siku hizi tumeshaachana na ule mtindo wa kuwa na mlundikano wa vitu kwenye kurasa za mbele za website, vinapokuwa vichache zaidi basi ndiyo ubora wake.

Katika kuhakikisha tunaongeza mvuto huku tukiwarahisishia wateja kupata picha na vitu vyote wavitakavyo kwenye kurasa moja, Dudumizi tumefanya maboresho ya kimuonekano na mfumo kwenye website yetui. Katika maboresho haya, mambo yafuatayo yameboreshwa;

 • Kutumiwa kwa Video badala ya picha, kwa ushurikiano na partners wetu, tumeweza kupata Video yenye kuendana na matakwa ya Dudumizi
 • Kutumiwa kwa icons badaya ya maneno ili kujenga mazoea kwa watumiaji
 • Matumizi  ya mitandao ya uhifadhi ili kuboresha speed
 • Muonekano wa kazi umeboreshwa na kuondoa kazi zilizopitwa na wakati
 • Muonekano wa kwenye simu nao umeboreshwa

Munonekano wa huduma za Dudumizi kwenye simu

 

Muonekano wa mbele wa Dudumizi

 

Comments  

william mshana william mshana
Mɓna hamuweki ɓei za huɗuma zenu.kama weɓ ɗesign, ni ɓei gani na services zote weken ɓei
2017-08-09 09:49
Dudumizi Dudumizi
Quoting william mshana:
Mɓna hamuweki ɓei za huɗuma zenu.kama weɓ ɗesign, ni ɓei gani na services zote weken ɓei

Mr WiLLiam, tunashukuru kwa maoni yako, kimsingi Website Design gharama yake hutegemeana na mambo mengi sana ambayo ni mahitaji, hivyo ni ngumu kuweka gharama moja kwa wote. Kama utakuwa na mahitaji ya Website, tafadhali wasiliana nasi kwa kutuandikia kupitia https://www.dudumizi.com/quotation.html
2017-08-09 11:13

Add comment


Security code
Refresh

Search your Domain

 

Follow us on Facebook

 • Website Hosting

 • 80000Tsh

 • /Year
  • 1Gb Web Space
  • Unlimited Email Accounts
  • Free Website Builder
 • Subscribe
Call us now