Case study: Bagamoyo Historical Marathon Website

Siku za karibuni, Dudumizi tulipokea maombi kutoka kwa kampuni ya 4 Bell inayoandaa matembezi ya Bagamoyo Historical Marathon wakiwa na kusudio la kutengeneza Website kwa ajili ya tukio hilo la Marathon (Marathon Website Design), na moja ya matakwa yao ni kuwawezesha watumiaji kujisajili na kufanya malipo online haswaa kwa kutumia njia za simu kama mpesa na Tigopesa. Muda ulikuwa mfupi, huku kukiwa na hitaji la integration ya payment jambo ambalo linahitaji umakini na kutokukosea.

Kama ilivyo ada yetu, timu nzima ya Dudumizi ilihakikisha inafanya kazi kwa kutumia maarifa yote mpaka Website inakuwa hewani. Na mnamo, Julai 27, tulikamilisha kazi na sasa Website ip hewani kwenye link https://bagamoyomarathon.co.tz

Features:

 • Online Marathon registration
 • Pesapal Payment Integration
 • Registrants Management
 • Registrants Export
 • Marathon Gallery
 • News/Blog

What we did:

 • Kutengeneza Website (Website Design)
 • Kutengeneza System ya Marathon (Marathon Registration System)
 • Kuunganisha Pesapal
 • Kusajili Domain na SSL Certificate
 • Website Hosting na Domain Name registration

Time: 2 Weeks

View it online: https://bagamoyomarathon.co.tz

 

Individual and group registration

Payment Integration

Je, Unahitaji Website Design Company yenye uelewa mkubwa wa Tanzania huku kazi ikiwa na viwango vya kimataifa, pata quotation 

 

Search your Domain

 

Follow us on Facebook

 • Website Hosting

 • 80000Tsh

 • /Year
  • 1Gb Web Space
  • Unlimited Email Accounts
  • Free Website Builder
 • Subscribe

HAPPY CUSTOMERS & PARTNERS FROM SMEs TO ENTERPRISES

 

We do not just build software, we help companies in their digital transformation challenges.

Call us now