Ni wakati wa kuiweka Tanzania online
Kujitangaza huku hakuishii tu kwenye vivutio vya utalii, bali pia hata makampuni na biashara zinazopataikana. Mfano, leo baada ya muwekezaji kusikia sera za Tanzania ya viwanda inayoasisiwa na Rais Magufuli akatamani kutafuta partner ili waanze michakato, inakuwa ngumu sana kwa sababu biashara nyingi sana za Tanzania hazipo online. Na hata kama zipo basi hakuna taarifa za kutosha. Taarifa za kutosha si lazima ujaze kurasa, ila ni zile zinazoweza kushibisha kiu ya njaa ya taarifa.
Tukiwa kama kampuni ya Kitanzania inayojihusisha na huduma za Tehama kama utengenezaji wa Website (Website Design), hosting, utengenezaji wa Systems nk, Dudumizi tunakuja na kampeni mahususi ya kuweka biashara zote za Kitanzania online. Kwa kutumia promosheni ya OLDUVAI utaweza kupata yafuatayo;
- Responsive Website (Inayofunguka kwenye simu, tablet na Computer)
- 1GB Hosting
- Unlimited Email accounts
- CMS to manage your website (No programing needed, no IT person after design)
- .TZ domain name
- Online Consultation
Hii yote ni kwa 600,00Tsh tu kwa wafanya biashara 10 wa kwanza. Malipo yatafanyika kwa awamu mbili, 60% kabla ya kuanza na 40% baada ya kukamilisha kutengenezewa Website.
Ni wakati wa kuiweka Tanzania online , chagua Olduvai Package.